KOZI YA WAKUFUNZI WAAMUZI YAJA

KOZI YA WAKUFUNZI WA WAAMUZIKozi ya Wakufunzi (Instructors) wa Waamuzi wa Mikoa imeanza leo (Juni Mosi) jijini Dar es Salaam ikishirikisha wakufunzi 16 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara. Wawezeshaji katika kozi hiyo itakayomalizika Juni 4 mwaka huu na inayofanyika Ofisi za TFF ni Hafidh Ally, Leslie Liunda, Joseph Mapunda, Riziki Majala na Juma Ali David. Boniface WamburaOfisa Habari TFF

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA