MAADHIMISHO YA MIAKA 117 YA OLIMPIKI DUNIANI

Wanamichezo wakifurahi katika maadhimisho ya kutimiza miaka 117 tangu kuanzishwa kwa Kamati ya Olympic Duniani. Maadhimisho hayo yalifanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam,ambapo watoto na wale wenye umri mkubwa walikimbia mbio za kilomita mbili na nusu na kilomita tano kwa vijana,washiriki wote walipata vyeti na mshindi katika makundi hayo alipata kitita cha sh.50,000.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.