MAADHIMISHO YA UTUMISHI WA UMMA WA UMOJA WA MATAIFA KUFANYIKA DAR

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, HAB Mkwizu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Utumishi wa Umma itakayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam kuanzia Juni 20-23.

Msemaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Zamaradi Kawawa (kulia) akielezea taratibu za mkutano huo wa waandishi wa habari.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*