Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Tolly Mbwette (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya mkutano wa tatu wa Afrika wa kujadili maendeleo ya Elimu Huria na Elimu Masafa itakayoanza Julai 12-15, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Elifas Bisanda ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma). (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Tolly Mbwette (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya mkutano wa tatu wa Afrika wa kujadili maendeleo ya Elimu Huria na Elimu Masafa itakayoanza Julai 12-15, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Elifas Bisanda ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma). Kulia ni Mwanafunzi wa Chuo hicho, Mudhihir Mudhihir.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)



Waandishi wa habari walioshiriki kwenye mkutano huo





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*