MAMA SALMA NDANI YA MALAYSIA

Mama Salma Kikwete (kushoto) akibadilishana mawazo na Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya, Pauline Kalonzo.

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (kushoto ) akizungumza na baadhi ya wake wa viongozi wa kitaifa kutoka nchi za Afrika,walipokaribishwa kwenye hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia, Datin Mansor (kulia) nyumbani kwake Putrajaya, Malaysia. (wa pili kulia ni Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya,Pailine Kalonzo na mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Mathato Mosisili. (PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO)



Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza katika hafla ya chai ya jioni iliyoandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia Datin Mansor maalum kwa wake wa viongozi mjini Putrajaya, Malaysia





Baadhi ya wake wa viongozi wa Afrika, wakisikiliza kwa makini wakati Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) akizungumza nao mjini Putrajaya, Malaysia.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.