MAZOEZI YA MISS DAR INTER COLLAGE YAPAMBA MOTO

Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta miss Vodacom Dar Inter College litakalofanyika Juni 17 wiki hii kwenye ukumbi wa Sunciro uliopo Sinza jijini Dar es Salaam wakiwa katika maadalizi ya mwisho mwisho.















Akizungumza leo katika kambi yao ya mazoezi mratibu wa shindano hilo, Angela Msangi amesema kuwa katika kunogesha fainali ya shindano hilo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo flava’, Dully Skyes atatumbuiza katika shindano hilo.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*