MBEYA CIMENT YAENDESHA SEMINA YA AFYA NA USALAMA BARABARANI

Meneja Mkuu wa Mbeya Cement Mbuvi Ngunze akiongea na wadau wa kampuni hiyo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Meneja Mkuu wa Mbeya Cement Mbuvi Ngunze akiongea na wadau wa kampuni hiyo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu juhudi zinazofanywa na Mbeya Cement kulinda afya na usalama wa wafanyakazi, wasafirishaji na wananchi kwa ujumla.




Hapa sio darasani: Ni kipindi maalum cha afya na usalama ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kampuni ya Mbeya Cement ambayo mwaka huu inaelekezwa kwenye matumizi salama ya usafiri. Wanafunzi hawa wa shule za msingi waliungana na wafanyakazi wa Mbeya Cement, wageni waalikwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kujifunza mbinu za usalama barabarani na msisitizo zaidi kwa wanafunzi hawa ulikuwa ni namna ya kuvuka barabara salama wakati wakienda shule and kurejea nyumbani




Meneja Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Mbeya Cement, Harriette Mutayoba-Msale akisisitiza jambo wakati akizungumza na wageni waalikwa na waandishi wa bahari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuhusu juhudi zinazofanywa na Mbeya Cement kulinda afya na usalama wa wafanyakazi, wasafirishaji na wananchi kwa ujumla. Ikiwa ni sehemu ya Lafarge, Mbeya Cement huendesha kampeni za afya na usalama kila mwaka, mwezi wa Juni, ili kuhamasisha na kusisitiza usafirishaji salama wa mali ghafi bidhaa zake. Inakadiliwa kwamba zaidi ya watu millioni 50 dunia hujeruhiwa vibaya kila mwaka kutokana na ajali za barabarani, na kudhihirisha kwamba suala la usalama barabarani linamhusu kila mtu. Kampeni ya Mbeya Cement ya mwaka huu inalenga katika hatua zinaweza kuzuia ajali kwa madereva na waenda kwa miguu.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.