MICHUANO YA VIJANA U-17 YA COPACOCACOLA YAANZA

Mmoja wa vijana kutoka Temeke, akipuliza vuvuzela wakati wa kushangilia pambano hilo.

Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, William Nchimbi (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya soka ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Copa Coca-Cola, na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Idd Kipingu wakiangalia mechi kati ya Kinondonui na Dodoma kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.



Mmoja wa wachezaji wa timu ya Kinondoni akitolewa nje kwa matibabu baada ya kuumia.





Baadhi ya wachezaji wa timu zinazoshiriki michuano hiyo







Daktari Ali Nassoro akimuuliza mmoja wachezaji wa timu ya Kinondonni kuhusu afya yake wakati wa mapumziko









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI