Msanii Jacob Makalla 'JCB' akiuteka umata wa wapenzi wa muziki wa
kizazi kipya wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya wa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Samu wa Ukweli akilichangamsha
jukwaa wakati wa ziara ya wanamuziki walioshinda tuzo ya Kili Music Award 2011, kuwashukuru wakazi wa Mkoa wa Mbeya kwa kuwachagua katika shoo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya.Ziara hiyo imedhaminiwa na Kamapuni ya Bia Tbanzania kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager.




Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye ni kinara wa mashindano ya Tuzo ya Kilimanjaro ya
Mwanamuzki Bora wa Tanzania 2011, 20 Percent akionesha umahiri wake wakati wanamuziki bora wa tuzo hiyo walipokuwa wakifanya shoo ya kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.






Msanii Jo Makini akiuhamasisha umati wa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kucheza wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.









Msanii Mwasiti Almasi akicheza muziki wake na mmoja wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya
wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.