MUKAMA WA CCM AKUTANA DK 45 NA KARDINALI PENGO

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama leo asubuhi. Mukama na Pengo walikuwa na mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 45.


Katibu Mkuu wa CCM, Mukama akiwa na mazungumzao na Polycarp Kardinali Pengo


Katibu Mkuu wa CCM wilson Mukama na Polycarp Kardinali Pengo na maofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, wakiwa katika katika picha ya pamoja kabla ya kuagana





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.