MUKAMA WA CCM AKUTANA NA MSUYA, MUFTI SIMBA

KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Waziri Mkuu huyo mstaafu alipomtembelea Katibu Mkuu, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam, jana (LEO). (Picha na Nkoromo Daily Blog)


SHEIKH MKUU:Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, jana (LEO). Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha. (Picha na Nkoromo Daily Blog).


Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, jana (LEO). Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Seleman Lolila (Picha na Nkoromo Daily Blog).





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI