NDEGE YA VIOO TUPU YABUNIWA

Inavyoonekana kwa ndani mchana

Inavyoonekana ikiwa angani



Inavyoonekana mbele wakati wa usiku







Inavyoonekana ndani wakati wa usiku





Kiwanja cha Gofu ndani ya ndege hiyo
Kampuni ya Airbus imebuni ndege yenye vioo tupu ambayo itamwezesha abiria kuona mambo mbalimbali ya kilimwengu akiwa safarini angani.


Akizungumza wakati wa maonesho ya ndege jijini Paris, Ufaransa,Makamu wa Mtendaji wa Rais wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Airbus, Injinia Charles Champion alisema ndege hiyo ikikamilika inaweza kuanza kufanya kazi mwaka 2050.


Ndani ya ndege hiyo kutakuwa na uwanja wa kucheza mchezo wa Gofu.Picha za mfano wa ndege hiyo ya kisasa ya aina yake zilioneshwa wakati wa maonesho ya ndege hivi karibuni jijini Paris, Ufaransa.









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA