Nyama ya mbuzi ikiwa imeninginizwa sambamba na mikungu ya ndizi katika Bar ya Mnyalu Wilayani Namtumbo,uuzaji wa nyama wa aina hii usiozingatia kanuni za fya unaweza kuhatarisha afya za walaji,


Afisa elimu taaluma wa mkoa wa Ruvuma Freziha Zombe,akifungua mafunzo ya siku tatu kwa maafisa mipango miji wa mikoa ya nyanda za juu kusini,juu wa wajibu wa halmashauri za miji na manispaa kutenga maeneo kwa ajili ya michezo iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi za chama cha walimu(cwt)mkoa wa ruvuma jana, PICHA NA MUHIDIN AMRI




Mchuuzi wa nyama za mbuzi katika Bar ya Mnyalu wilayani Namtumbo alifahamika kwa jina JUMA KADENGE akiandaa kitoweo hicho katika mazingira ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa kwa walaji,





Nyama ya mbuzi ikiwa imeninginizwa sambamba na mikungu ya ndizi katika Bar ya Mnyalu Wilayani Namtumbo,uuzaji wa nyama wa aina hii usiozingatia kanuni za fya unaweza kuhatarisha afya za walaji,








Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dk. Christine Ishengoma akiwa ndani ya ndege ya Shirika la Indigo Aviation, siku ndege hiyo ilipozindua safari zake kwa abiria kati ya Dar es salaam na Songea mwishoni mwa wiki ilopita katika Uwanja wa Ndege wa Songea.Ndege hiyo itafanya safari zake kati ya Dar-Songea kila Jumatatu na Ijumaa. (NA MPIGA PICHA MAALUM)











Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.