PPF YAIPATIA ALAF SACCOS MIL 950/=

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Alaf Saccos, Said Kitenge mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 950 kwa ajili ya kuwakopesha wanachama 300 wa Saccos hiyo. Hafla hiyo ilifanyika eneo la Kiwanda cha mabati cha Alaf, Dar es Salaam leo. Katikati ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kiwanda cha mabati cha Alaf, Pankat Kumar


Wafanyakazi wa PPF wakiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Alaf watakaonufaika kupitia mkopo huo.


Ofisa Mwandamizi wa Vitegauchumi wa PPF, Godbless Robian (kushoto) akielezea manufaa anayoweza kunufaika mfanyakazi atakayejiunga uanachama na mfuko PPF.





Meneja wa PPF wa Kanda za Temeke, Lindi na Mtwara, Evans Musiba (katikati) akitoa mwito kwa wananchi kujiunga na mfuko huo ili wanufaike mikopo kama waliyowakopesha wafanyakazi wa Alaf Saccos.







Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kiwanda cha mabati cha Alaf, Pankat Kumar (kulia), akizungumza katika mkutano huo, kuishukuru PPF, kwa mkopo huo waliyoipatia Saccos ya wafanyakazi wa kiwanda hicho. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.