Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam.(PICHA NA JOHN LUKUWI)

Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Takreem El-Tohamy, Meneja Mkuu wa IBM katika nchi za Mashariki ya Kati na Afrika Ikulu Dar es Saslaam




Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Hispania, Miguel Moratinos. Baadaye Rais Kikwete alifanya mazungumzo na mgeni huyo Ikulu, Dar es Salaam







Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika mkutano wa wadau Mradi wa Tiba ya Malaria, Dar es Salaam





Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Mradi wa Tiba ya Malaria (MMV), Ray Chambers (kushoto) na Mwenyekiti wa MMV aliyemaliza muda wake, Lynda Chalker wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa mradi tiba ya malaria, Dar es Salaam. (PICHA NA FREDDY MARO)








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.