Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilimani Sesame na kujaribu kuwafundisha kitabu alichokizundua jana Dar es Salaam cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria ugonjwa hatari unaosababisha vifo vingi kuliko ugonjwa mwingine wowote nchini hususani kwa akina mama wajawazito na watoto.(PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO)

Comments