Samahani Samahan Samahani!

Sanahani wadau wangu kwa kutokwenda na wakati kutoa matukio kwenye Blogu yenu ya kizalendo ya Kamanda wa Matukio, kwani nilikuwa nasafari ya dharula jijini Mbeya ambayo haikunipa fursa ya kuweza kufanya hivyo, lakini sasa nimerudi naahidi kuwawekea mambo motomoto kibao yakiwemo ya safari ya kutoka Dar -Mbeya-Dar. Karibuni sana.


Wenu Mtayarishaji Mkuu


Kamanda Mwaikenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA