STARS YAENDA AFRIKA YA KATI


Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu (wa pili kushoto), akimkabidhi bendera ya Taifa Mkuu wa msafara wa Taifa Stars, Samwel Nyalla, Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika mchezo wa marudiano na timu ya Taifa ya Jumhuri ya Afrika ya Kati, unaochezwa keshokutwa nchini humo. Kushoto ni Kocha wa timu hiyo, Jan Poulsen na kulia ni nahodha Shadrack Nsajigwa na Meneja wa timu, Leopold Tasso

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI