TAKWIMU YAPATA MSAADA WA MAGARI 19 YA SENSA

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkullo, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari hayo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk.Albina Chuwa na Mwakilishi wa UNFPA, Dk.Julitta Onabanjo.

Mwakilishi wa UNFPA hapa nchini Dk.Julitta Onabanjo, akitoa hotuba fupi wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk.Albina Chuwa na Waziri waa Uchumi na Fedha, Mustafa Mkullo.




Waziri wa Uchumi na Fedha, Mustafa Mkullo,akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Idara ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dar es Salaam , kwenye hafla ya kupokea magari 18 aina ya Land Cruiser Hard Top zenye thamani ya sh.bilioni 1,109,502,196 yaliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu dunia (UNFPA), Kushoto ni Mkurugenzi wa NBS Dk.Albina Chuwa.




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*