TBL YASHIRIKI USAFI WA MAZINGIRA DAR

Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi Maalum, Phocus Lasway (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Fedha, Kelvin O'Flaherty wakifanya usafi Barabara ya Uhuru karibu na Soko la Ilala Mchikichini, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kuadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani iliyofikia kilele juzi. TBL siku hiyo pia ilikabidhi kwa Manispaa ya Ilala,msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. mil 11.

Wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifanya usafi Barabara ya Uhuru karibu na
Soko la Ilala Mchikichini, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ikiwa ni moja ya shamrashamra ya
kuadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani iliyofikia kilele juzi. TBL siku hiyo pia ilikabidhi
kwa Manispaa ya Ilala,msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. mil 11.

Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu akisoma risala ya kampuni hiyo muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa vya usafi wa mazingira vyenye thamani ya sh. milioni 11.

Meneja wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akimkabidhi
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Leonidas Gama, moja kati ya vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.
milioni 11 kwa ajili ya Manispaa ya Ilala. Kabla ya kukabidhi vifaa hivyo mwishoni mwa wiki,
wafanyakazi wa kampuni hiyo walifanya usafi wa mazingira katika Barabara ya Uhuru, Dar es
Salaam,ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kuadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani iliyofikia
kilele juzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI