TFF, VILLA SQUAD KUKUTANA KESHO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga kesho (Juni 16 mwaka huu) atakutana na wadau mbalimbali ili kuangalia mustakabali wa klabu ya Villa Squad ambayo msimu huu itashiriki Ligi Kuu ya Vodacom.
Mkutano huo utafanyika makao makuu ya TFF kuanzia saa 9 kamili. Mbali ya Rais Tenga na Sekretarieti yake, wadau wengine katika mkutano huo ni wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Kamati ya Uchaguzi ya Villa Squad na viongozi wa klabu hiyo.
Boniface Wambura

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA