Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakisoma vipeperushi vyenye orodha ya vipodozi vilivyopigwa marufuku katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwenye maadhimisho hayo. Kulia ni Mwanasheria na Mkaguzi wa Dawa wa TFDA, Donsta Simon. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Mfano wa samaki aina ya nguva akioneshwa katika banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi.



Samaki aina ya Silikanti ambaye alipotea kwa miaka 65 hivi sasa anapatikana katika bahari za Tanzania. Samaki huyo wa ku anaoneshwa kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maadhimisho hayo.






Ofisa Uhusiano wa Benki Kuu ya Tanzania Vicky Msina akinonesha noti halali (KULIA) na feki ya sh 10,000 katika banda la BoT






Askari akipata maelezo katika banda la Tume ya Mipango katika maonesho hayo









Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*