WAZIRI MKUU WA SOMALIA AMEJIUZURU

Waziri Mkuu wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed (pichani) amejiuzulu kufwatana na mkataba ulioungwa mkono na Umoja wa Mataifa ili kumaliza msukosuko wa nchi hiyo.
Bwana Mohamed ambaye juma hili alisema hatoondoka amesema ameamua kung'atuka kwa sababu ya maslahi ya watu wa Somalia.
Maelfu ya wa Somali waliandamana kupinga uamuzi wa kumuondosha waziri mkuu wakisema kuwa anawalipa watu mishahara yao.
Pia, alipiga vita rushwa na amepiga hatua dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu ambao wanadhibiti sehemu kubwa ya nchi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.