AIRTEL YAENDESHA SEMINA YA AIRTEL MONEY


Mkurungenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Sam Elangallor akitoa semina ya huduma ya Airtel money kwa wawakilishi kutoka katika makampuni mbalimbali waliohudhuria semina hiyo iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel nakuhudhuria na wadau mbalimbali na waandishi wa habari.

Mkurugenzi wa mahusiano wa Airtel Beatrice Singano Mallya akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa semina ya Airtel money inayotolewa kwa makapuni mbalimbali leo kwa muda wa siku mbili, uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel na kuhudhuriwa na wadau wengi na waandishi wa habari

(Kushoto) Mkurungenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Sam Elangallor akiongesha kwa vitendo jinsi gani huduma ya Airtel money inavyofanya kazi na kutoa shuluhisho kwa changamoto wanazozipata katika kuendesha biashara kwa wawakilishi kutoka katika makapuni mbalimbali waliohudhuria semina hiyo iliyofanyika Makao makuu ya Airtel, pichani anayefata ni Mkurungezi wa fedha Kalpesh Mehta na Meneja huduma Airtel money Asumpya Naligingwa.
Mkurungezi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Kalpesh Mehta akitoa semina ya huduma ya Airtel money kwa mashirika na wadau mbalimbali walioalikwa na kuhudhuria seminar hiyo iliyofanyika leo na kuendeshwa kwa siku mbili katika makao makuu ya Airtel , lengo likiwa ni kuwaeleimisha wafanyabiashara na mashirika mbalimbali jinsi huduma ya Airtel money inavyoweza kutoa suluhisho la matatizo yanayowapata katika kuendesha biashara zao.
(kushoto) mkurungenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Sam Elangallor na Mkurungezi wa fedha Kalpesh Mehta kwa pamoja wakitoa semina ya huduma ya Airtel money kwa wawakilishi wa makampuni mbalimbali yaliyoalikwa kupata mafunzo juu ya faida na matumizi ya huduma hiyo katika kutatua changamoto mbalimbali za uendeshaji wa biashara zao. Semina hiyo semina hiyo iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel nakuhudhuria na wadau mbalimbali na waandishi wa habari.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA