bo Hoyce Temu Alamba Nondozz chuo cha Diplomasia

Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam.
Hoyce Temu na Mdau Sixtus Mapunda akiwa na familia yake.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na familia yake. Kutoka kushoto ni Mrs. Shose Minja mama yake mdogo, Pendo Matee Makwaiya, Rafiki yake Emelda pamoja na dada yake Edith Max.
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mdau Assah Mwambene.
Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby
Hoyce Temu katika picha ya pamoja na rafiki yake Mrs Mareale
Hoyce Temu akiwa na mmoja wa wahadhiri wa chuo hicho.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe katika Picha ya Pamoja na wahitimu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations). Wa tatu kutoka kushoto waliosimama ni Hoyce Temu. Blogu ya kamanda wa Matukio inakubongeza kwa juhudi zako za kusaka zaidi elimu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.