BREAKING NEWS ....MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA

PICHANI NI MAREHEMU ENZI ZA UHAI WAKE

Mzee Said Fundi, maarufu kama Mzee Kipara msanii ambaye amedumu katika sanaa kwa miaka mingi sana.
Mzee kipara ambaye alikuwa akishambuliwa na maradhi kwa mada mrefu amefikwa mauti hayo leo amefariki dunia asubuhi saa mbili leo Jumatano tarehe 11 Januari, 2012.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMEN...

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI