CCBRT YAHITIMISHA MPANGO WA WAELIMISHAJI RIKA WENYE ULEMAVU

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans, akifafanua jambo katika mkutano wa kuhitimisha mradi wa kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kuwa waelimishaji kwa walemavu wenzao juu ya vita dhidi ya maambukizi ya  virusi vya Ukimwi na Ukimwi, jiji Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT, Brenda Msangi.
 Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT, Brenda Msangi akizungumza katika mkutano huo.
 Meneja Mradi wa CCBRT, Clement Ndahani, akijibu maswali mbalimbali yaliyoelekezwa upanda
wao na watu wenye ulemavu waelimishaji rika leo katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Watu wanaoishi na Virusi vya
Ukimwi, Vitalis Makayuga akichangia hoja na
kuomba CCBRT isisitishe mpango huo ili walemavu
waendelee kuelimika juu magonjwa hayo.

 Hamis Mchuro ambaye ni Muelimishaji Rika kutoka Kijitonyama, akiipongeza CCBRT kwa kuwezesha waelimishaji rika walemavy nchini
 Mwelimishaji Rika Farida Chamwana kutoka Kilosa Morogoro, akitumia lugha ya alama kuchangia hoja wakati wa mkutano huo.
 Mwelimishaji Rika, Neema Abas kutoka Ngamiani Tanga,mwenye ulemavu wa kutosikia, akichangia hoja katika mkutano huo.
Baadhi ya Watu wenye Ulemavu wakiwa katika mkutano wa kuhitimisha mradi wa kuwawezesha Watu wenye Ulemavu kuwa waelimishaji kwa walemavu wenzao juu ya vita dhidi ya maambukizi ya  virusi vya Ukimwi na Ukimwi, jana jiji Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*