DK BILAL ZIARANI MUHEZA,TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Muheza, alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kupokea taarifa ya utendaji kabla ya kuanza kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo akiwa katika ziara yake Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili eneo la CCM Wilayani Muheza na kupokelewa na Vijana shupavu wa CCM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika Soko jipya la Michungwani, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza, leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*