DK KAWAMBWA AKILINDWA NA UTITIRI WA POLISI

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akiingia kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu, Dar es Salaam jana, huku akiwa na ulinzi mkali wakati wa maandamano ya wanafunzi wa kiislamu waliokuwa wakipinga kitendo cha uongozi wa Shule ya Sekondali ya Ndanda, Masasi, Mtwara, kuwafukuza wanafunzi 20 wa kiislamu.

                                 Wanafunzi wakilindwa ili wasije wakaleta tafrani
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akimkaribisha Waziri Kawambwa kwenye viwanja hivyo. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA BLOGU YA MTAA KWA MTAA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.