DK SHAIN AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAPYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mabalozi walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi  mbalimbali. Mabalozi hao walikwenda kumuaga Rais  Shein Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kutoka kushoto ni Dk. Deodolus Kamala (Ubeligiji), Dk. Batilda Burian (Kenya) na Philip Marmo anayekwenda China. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU ZNZ)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Dk.
Ali Mohamed Shein,akisalimiana Mabalozi walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi  mbalimbali. Mabalozi hao walikwenda kumuaga Rais  Shein Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kutoka kushoto ni Dk. Deodolus Kamala (Ubeligiji), Dk. Batilda Burian (Kenya) na Philip Marmo anayekwenda China. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU ZNZ)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA