FAMILIA YA KAMANDA WA MATUKIO, MWAIKENDA YAFURAHIA KUUPOKEA MWAKA MPYA WA 2012

Bibi Ezelina akiwa na mjuu wake Geofrey wakati wa hafla ya familia ya Mmilikiwa Blogu hii Kamanda Mwaikenda, ikifurahia kuupokea mwaka mpya wa 2012, eneo la Kivule, Dar es Salaam.

                               
Bibi Ezelina akifurahia jambo na Mjuu wake Lusekelo,. Picha ya chini ni mjuu wake Tusekile akitafakari jambo, halafu picha inayofuata, anaonekana akiwa na wajukuu pamoja na nyanya zake
Bibi Ezelina, ambaye ni mzazi wa Kamanda Mwaikenda, akiwa na wajukuu pamoja na nyanya wake, Nyumbani kwa Kamanda, Kivule.
Bi Elzelina akiwa na wajukuu zake nyumbani kwa Kamanda Mwaikenda, Kivule, Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.