Rais wa Visiwa vya Trinidad and Tobago Mhe. Proffesor George Maxwell Richards, akimkaribisha Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais huyo kwa maspika wa Nchi wananchama wa Jumuia ya Madola. Zaidi ya Maspika na viongozi mbalimbali wa kibunge 100 wanafanya mkutano wao wa 21 katika Visiwa vya Trinidad and Tobago.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Katibu wa Bunge la Ghana Ndg. Emmanuel Anyimadu wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Visiwa vya Trinidad and Tobago Mhe. Proffesor George Maxwell Richards, kwa maspika wa nchi wananchama wa Jumuia ya Madola ambao wanahudhuria mkutano wao wa 21 katika Visiwa vya Trinidad and Tobago
Spika Makinda akiteta Jambo na Spika wa Bunge la Kenya Mhe. Kenneth Marende (Mb) wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Visiwa vya Trinidad and Tobago Mhe. Proffesor George Maxwell Richards, kwa maspika wa nchi wananchama wa Jumuia ya Madola ambao wanahudhuria mkutano wao wa 21 katika Visiwa vya Trinidad and Tobago.
Spika Makinda akiteta Jambo na Spika wa Bunge la Uganda Mhe. Rebbeca Kadaga (Mb) wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Visiwa vya Trinidad and Tobago Mhe. Proffesor George Maxwell Richards, kwa maspika wa nchi wananchama wa Jumuia ya Madola ambao wanahudhuria mkutano wao wa 21 katika Visiwa vya Trinidad and Tobago.
Comments