HALI BADO SI SHWARI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NI MADAKTARI WATANO TU WAFIKA KAZINI KATI YA 75

Hospitali ya rufaa mbeya
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi.Chanzo Blo ya Mbeya Yetu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.