IPC YAENDESHA MKUTANO WA WADAU WA HABARI ASUBUHI HII 

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Njombe Pindi Chana (CCM) ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya bunge na katiba akitoa mada juu ya katiba mpya asubuhi hii katika mkutano wa wadau wa habari ulioandaliwa na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) chini ya ufadhili wa UTPC (PICHA YA BLOG YA FRANCIS GODWIN)
viongozi mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa wadau wa habari ,kutoka kushoto ni katibu wa IPC Frank Leonard , Mwenyekiti wa IPC Daud Mwangosi ,mgeni rasmi mkuu wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa Prof.Nicholaus Bangu ,mkuu wa wilaya ya Iringa Aser Msangi ,na Mhe.Pindi Chana
wadau wa habari wakisikiliza kwa makini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.