JAMBO CONCEPTS ILIVYOJIMWAGA QUALITY CENTRE KUUKARIBISHA MWAKA MPYA DAR

Meneja Matangazo wa Kampuni ya Jambo Concepts Limited (JCTL), Lightnes Sirikwa akizungumza wakati wa hafla ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya 2012, iliyofanyika kwenye Jengo la Kibiashara la Quality Centre, Dar es Salaam. Kampuni hiyo inachapisha gazeti la Jambo Leo na Jarida la Jambo Brand Tanzania.
Wakijaza maakuli kwenye sahani wakati wa hafla hiyo ni baadhi ya wafanyakazi wa JCTL. Kutoka kushoto ni, Ofisa Mauzo wa dula la Office Direct  tawi la Quality Centre, Ali Mhina, Meneja wa duka hilo tawi la Quality Centre, Elinas Kitua, Meneja wa duka la Office Direct tawi la City Centre, Samwel Malyogo na Mwandishi wa habari mwanafunzi wa gazeti hili, Mwanaharusi Abdalah.

Baadhi ya wafanyakazi wa JCTL, wakipakua chakula kilichoandaliwa maalumu kwa ajili ya hafla hiyo. Kutoka kushoto ni, Mhasibu Mkuu, Vick Muhere, Mhudumu wa ofisi, Nuru Abdalah na  Ofisa Matangazo, Devotha Akbar
Meneja Mkuu wa JCTL, Ramadhan Kibanike (katikati), akielezea mafanikio na changamoto mbalimbali zilizoikabili kampuni hiyo 2011. JCTL pia inamiliki duka la Office Direct lenye matawi Jengo la Quality Centre na City Centre, Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, wakipata mlo wa usiku wakati wa hafla hiyo. Kutoka kushoto ni  Mwandishi wa habari mwanafunzi kutoka Chuo cha Uwandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ), Mwanaharusi Abdalah, Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa, Robert Hokororo (mwandishi),  Joseph Mabula (mwandishi) na Grace Gulisha (mwandishi)

Ofisa Mtendaji Mkuu wa  JCTL, Juma Pinto akielezea mikakati  mipya ya kampuni hiyo kwa mwaka 2012, wakati wa hafla hiyo.
Wakijaza maakuli kwenye sahani wakati wa hafla hiyo ni baadhi ya wafanyakazi wa JCTL. Kutoka kushoto ni, Ofisa Mauzo wa dula la Office Direct  tawi la Quality Centre, Ali Mhina, Meneja wa duka hilo tawi la Quality Centre, Elinas Kitua, Meneja wa duka la Office Direct tawi la City Centre, Samwel Malyogo na Mwandishi wa habari mwanafunzi wa gazeti hili, Mwanaharusi Abdalah.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA