JK AWAAPISHA VIONGOZI WA TUME YA UCHAGUZI (NEC)

 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji mstaafu Damian Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ikulu, Dar es Salaam. (PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA -MAELEZO)

                                JK akompongeza Lubuva baada ya kumwapisha  leo asubuhi
 Kaibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Penieli Lyimo (kulia) akiongea na Jaji Mkwawa (shoto) Na Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa wakati wa hafla hiyo
4-Rais Jakaya Kikwete akiuapisha Julius Benedicto Mallaba kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC)
6- Picha ya pamoja ya Rais Jakaya kikwete, Makamu wa Rais Dr, Bilal pamoja na viongozi wakuu wa mahakama

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.