JK AWASILI DAVOS USWIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa katika kikao cha maandalizi na viongozi wa Tanzania jana jijini Davos, Uswis, kabla ya kuanza mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Uchumi Duniani (WEF) ulioanza leo nchini humo. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe alipowasili Davos, Uswis jana, kuhudhuria mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Uchumi Duniani (WEF) ulioanza nchini humo. (PICHA NA IKULU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA