JK AZINDUA DARAJA JIPYA LA MTOMBOZI,MOROGORO

Rais Jakaya Kikwete leo ametembelea Morogoro vijijini na kuzindua madaraja mawili makubwa katika mto Mtombozi, Matombo, na mto Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, pia ameweka jiwe la msingi la soko la kijiji cha Mtamba na kukagua ujenzi wa barabara sehemu ya Kisaki, Msalabani.
Caption ziko na picha. Natuma hivi ili ziwahi maana ndio tumerudi. Samahani

PICHA NA IKULU

JK akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012
JK na RC akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua

JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua (2)

JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*