JK AZINDUA JENGO LA CAG MOROGORO


Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro jana January 17, 2012. Nyuma yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro jana January 17, 2012. Kushoto yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera
Rais Jakaya Kikwete akielekea kupanda mti baada ya kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro jana January 17, 2012. Pamoja naye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro jana January 17, 2012. wengine ni Waziri wa Katiba Mh Celina Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera na mkuu wa Wilaya ya Morogoro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI