JK KATIKA MKUTANO WA UCHUMI DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete (wa Tatu kushoto), akiwa na baadhi ya viongozi wanaohudhuria mkutano wa kujadili maendeleo ya uchumi Duniani, Davos, Uswis leo. Kutoka kushoto ni; Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Waziri wa Fedha wa Nigeria, Ngozi Okonjo-Iweala, Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Rais wa Guinea, Alpha Conde, Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Sarah Brown na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown. (PICHA YA IKULU)

President Jakaya Kikwete take part in in discussions on "Africa-from Transition to Transformation"held at the Davos Congress centre in the on-going World Economic Forum at the Swiss mountainous resort of Davos.Others from left are President Alpha Conde of Guinea, Prime Minister Raila Odinga of Kenya, Prime Minister of Ethiopia Mr Meles Zenawi, President Jacob Zuma of South Africa and the moderator former British Prime Minister Mr Gordon Brown.Photo by State House

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI