KAJIMA KUJENGA UPYA BARABARA YA KILWA

Sehemu ya Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, ambayo kwa mujibu wa makubaliano ya Serikali ya Japan na Tanzania yaliyofikiwa Dar es Salaam, itajengwa tena upya na Kampuni ya Ujenzi ya Kajima baada ya awali kuvurunda.
Waziri wa Ujenzi, John Magufuli (kushoto) akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada baada kutiliana saini mkataba ambapo Serikali ya Japan imekubali Kampuni ya Kajima kurudia tena kujenga upya Barabara ya Kilwa ambayo ilijengwa vibaya na kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyika, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA