MAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA KICHINA DAR

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kichina wakati wa maadhimisho ya Mwaka mpya wa China, usikukwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Wasanii wa kikundi cha China, wakitumbuiza wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina usiku wa kumkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

Kikundi cha Sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

Wasanii wa kikundi cha China, wakitumbuiza wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina


Kikundi cha Sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.