MAALIM SEIF AMPASHA HAMAD RASHID KATIKA MKUTANO WA CUF MANZESE DAR

Katibu Mkuu wa Cuf, mAALIM Seif Sharrif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara kuelezea hatua waliyomchukulia Mbunge wa Wawi, Hamad Rashi Mohamed ya kumtimua kwenye chama pamoja na baahi ya wajumbe wengine wa baraza Kuu la chama hicho. Mkutano huo ulifanyika jana kwenye viwanja vya Bakhresa, Manzese Dar es Salaam.

Sehemu ya umati wa wafuasi wa CUF, ukiwa katika mkutano huo

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Tanzania Bara, Julius Mtatiro akiwa na mwanawe kukanusha habari za Hamad Rashid kuwa ni mtoto

Sehemu ya umati wa wana cuf

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Zanzibar, Ismail Juaa akihutubia katika mkutano huo

                        Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini, Baruani (CUF) akihutubia katika mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI