MAGARI MATATU YAGONGANA JIONI HII MAENEO YA MWANJELWA



Magari matatu yamegongana jioni hii maeneo ya mwanjelwa dereva wa gari aina ya toyota carina tax alisimama ghafa na ndipo magari yaliyofwatia nyuma kushinda kushika breki na kugongana




Madereva wa magari hayo wakijaribu kuwekana sawa huku kila mmoja akimlaumu mwenzake ndiye aliyosababisha ajali hiyo huku mingine akidai mvua imesababisha ajali hiyo kwani alipokanyaga breki gari yake iliteleza. (PICHA NA BLOGU YA MBEYA YETU)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.