MAJERUHI ZAIDI WA AJALI YA MABASI YA TAQWA, MORO BEST

 Askari wa JWTZ akimwangalia mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa na Moro Best iliyotokea baada ya kulikwepa Lori lililokuwa limeegeshwa katika Barabara Kuu ya Dar-Moro, eneo la Mikeshe, Morogoro.
Askari akimhoji abiria ambaye pamoja na mwanawe walinusurika  katika ajali hiyo.
Wasamaria wema wakiwa wamebeba mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa lililokuwa likitokea Bunjumbura,Burundi kwenda Dar es Salaam.
Baadhi ya abiria wa basi la Moro Best wakimuokoa mwenzao aliyejeruhiwa wakati wa ajali hiyo
MAJERUHI WA AJALI MBILI ZA BASI LA TAQWA MAGDALENA LEVIRIAN (18) KULIA NA ELIZABERTH PATRICK (15) PIX NO 6
MAJERUHI WA BASI LA TAQWA T 478 BBJ PENDO LUKINDO KTK WARDI YA 5B HOSPITALI YA MKOA MORO 
MKUU WA USLAMA BARABARANI MKOA WA MORO, LEORNAD GYINDO KUSHOTO AKIMSIKILIZA DEREVA BASI LA MORO BEST T 846 BCU 
Mtoto Pascal (4) akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, alipofikishwa kupata tiba baada kujeruhiwa katika basi la Taqwa T 478 BBJ.
MUUGUZI HOSPITALIA YA MKOA MORO. STELLA KIZEGA AKITOA HUDUMA KWA MAJERUHI BASI LA MORO BEST WARDI 5 B PIX NO 3
TRAFIKI AKIMSINDIKIZA MTOTO ALIYERUHIWA KTK BASI LA MORO BEST PIX NO 4

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.