MAMBO YA ZENJI

 Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya baraza baada ya kuahirishwa jana mchana.
Kutoka kushoto kwenda kulia ni, Machano Othman Said wa Mwembemakumbi, Omar Yussuf Mzee (kuteuliwa) na Ismail Jussa (Mjimkongwe).
Picha na Martin kabemba

Mgombea mteule wa CCM jimbo la Uzini Zanzibar, Mohamed Raza akikabidhiwa fomu ya uchaguzi kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Mussa Ali Juma (kulia) tukio hilo lilifanyika kwenye ofisi ya Tume, wilaya ya Kati Unguja jana.
Picha na Martin Kabemba.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI