MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI, TANZANIA WAKUTANA LEO KUJADILI USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu ushirikiano na Misri katika sekta mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Mohamed Kamel Amr.

 Baadhi ya maofisa kutoka Misri wakiwa pamoja na baadhi ya waandishi wa habari wa hapa nchini wakati wa mkutano huo
                              Wanahabari wakifuatilia kwa makini wakati wa mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA