MBUNGE WA CHADEMA AFARIKI KWA AJALI RUVU

Mbunge wa Viti Maalum, Morogoro, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Regia Mtema, amefariki Dunia leo kwa ajali ya gari eneo la Ruvu Darajani akiwa safarini kutoka Dar  kwenda Morogoro.
Ndani ya Gari hilo alilokuwa akiliendesha mwenyewe walikuwemo watu wengine wanne ambaohali zao mpaka sasa hazijaweza kufahamika.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA