MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DR.MARY MWANJELWA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANNJELWA NA KUJIBU KERO ZAO MBALI MBALI



Mh Dr. Mary Mwanjelwa  mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya akiongea na wananchi wa mwanjelwa  katika kiwanja cha sido. Picha zaote kwa hisani ya Mbeya yetu Blog


Mh. Mary Mwanjelwa akihutubia wananchi katikati ya madimbwi ya maji ya mvua  huku akisisitiza kuwa ataenda kumwona mkurugenzi wa jiji la mbeya na kumwomba aje afukie madimbwi hayo huku wananchi wakimshangilia kwa ahadi hizo


Habari kamili tutawaletea baadae

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.