BREAKIIIING NEWS, MBUNGE MWINGINE AFARIKI DUNIA

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kalenga, Iringa, Steven Galinoma amefariki Dunia leo alipokuwa akikimbizwa hospitali , kuokea Kalenga alikokuwa akiishi.

Marehemu Steven Galinoma amefariki leo tarehe 26 Januari, 2012 saa 4.00 asubuhi akiwa njiani kupelekwa katika Hospitali ya Misheni ya Ipamba iliyopo Iringa Vijijini kwa matibabu kutokana na ugonjwa wa saratani akitokea kijijini kwake Kalenga.

Enzi za uhai wake, Marehemu Steven Galinoma pia aliwahi kufanya kazi Serikalini kwa muda mrefu na kushika nyadhfa mbalimbali hadi kufikia wadhfa wa Katibu Mkuu katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.